Friday, 24 April 2015

KATIKA JITIHADA ZA KUIBUA VIPAJI KATIKA SOKA JAMAL MALINZI ATEMBELEA SHULE YA MSINGI KARUME KUANGALIA MAZINGIRA.


Imekuwa ni ndoto ya muda mrefu ya Rais wa TFF Jamal Malinzi kuibua na kukuza vipaji vya soka kwa watoto wa mitaani na watoto wenye vipaji vya kusakata kabumbu,Jamal Malinzi amekuwa na mawazo mengi na mikakati mbalimbali ya kuhakikisha ndoto yake inatimia,moja ya changamoto ambayo wamekumbana nayo ni mahala pa kukusanya watoto hao na kuwatunza kwa ajili ya wataalam kubaini uwezo wa watoto hao katika mchezo wa soka.Akiwa Mkoani Kagera anapata wasaa wa kutembelea shule ya msingi ya kulala karume inayomilikiwa na Mdau mkubwa wa michezo, Bw Seif Mkude ambae pia ni mwenyekiti wa Bukoba veteran.Bw Jamal alifika kujionea mazingira na kuangalia eneo kama linaweza kufaa kwa ajili ya kupata kituo maalum kwa ajili ya kukuza vipaji vya michezo kwa watoto.

Rais wa TFF Jamal Malinzi akiwa na Mkurugenzi wa Karume bording english midium primary school.








Alienyoosha mkono ni Mkurugenzi wa shule Bw Seif Mkude akimuonyesha Rais wa TFF Uwanja unaotengenezwa kwa viwango kwa ajili ya michezo shuleni hapo.



Hakika Rais aliridhika na mazingira na eneo lilivyo .

Thursday, 19 March 2015

Description: Karume Day and Boarding English Medium Primary School started in January 2005 with a nursery class only. It has since added classes up to Primary 4. It is a private school with 160 students (30 boarders). There are 9 teachers using 5 classrooms. Fees per term for day scholars are 185,000 shillings ($160) and 245,000 shillings ($213) for boarders. The school has no other income sources. The school seeks funding from other organizations or donors who can help with funding for construction of new classrooms, girls and boys hostels, a dining hall and an office. The school motto is Knowledge is Power.